forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
976 B
Markdown
20 lines
976 B
Markdown
# Elifazi Mtemani
|
|
|
|
Hili ni jina la mtu. Watu kutoka temani wanajulikana kama Watemani.
|
|
|
|
# Mtu mwenye hekima anapaswa kujibu kwa maarifa yasiyofaa na kujijaza mwenyewe na upepo wa mashariki?
|
|
|
|
Elifazi anatumia swali hili la kejeli kumkemea Ayubu. "Mtu mwenye busara hapaswi kujibu kwa maarifa yasiyo na faida wala kujilisha yeye mwenyewe na upepo wa mashariki"
|
|
|
|
# kujijaza mwenyewe na upepo wa mashariki?
|
|
|
|
Upepo unawakilisha hakuna. Tungo hii inazungumzia mtu anyezungumza maneno yasiyo na maana.Mtu huyu ni kama amejaa upepo. "kujijaza yeye mwenyewe na maneno yasiyo na maana"
|
|
|
|
# upepo wa mashariki?
|
|
|
|
"upepo wa joto" au "upepo wa jangwani"
|
|
|
|
# Anapaswa kuhojiana na mazungumzo yasiyo na faida au na hotuba ambazo kwa hizo yeye hawezi kufanya mema?
|
|
|
|
Elifazi anatumia swali hili la kizushi kumkemea Ayubu. " Yeye hapaswi kuhojiana na kwa mazungumzo yasiyo na faida" au "Yeye hapaswi kushindana kwa kutumia maneno yasiyo na faida au kutoa hotuba ambazo mwisho wake ni hasara"
|