sw_tn/job/14/13.md

32 lines
1.1 KiB
Markdown

# habari za Jumla:
Ayubu anaendelea kuzungumza kwa Mungu.
# Laiti, kwamba ungenificha mim
Huu ni mshangao kuonyesha kile ambacho Ayubu anataka sana lakini yeye hana matumaini ya hakika kutokea. " Mimi ningependa kwamba wewe ungenificha mimi"
# ungenitunza mimi katika siri
"niache mimi nimefungiwa" au " niache mimi nimefichwa"
# na kisha kuniita mimi katika fahamu
Kumwita mtu katika ufahamu ni nahau ikimaanisha kufikiri juu yake yeye. " na kisha nifikire mimi" au " na kisha unikumbuke mimi"
# Ikiwa mwanadamu akifa, yeye ataishi tena?
jibu la hakika ni "hapana." "Kama mtu akifa, yeye hataishi tena"
# Ikiwa hivyo
"hivyo" inamaanisha ufahamu kutoka katika mistari iliyotanguliza. " Kama yeye angeishi tena"
# kusubiri kule muda wangu wote wa kuharibika
Maneno "muda wngu wa kuharibika" yanawakilisha muda ambao Ayubu angeharibika." kusubiri muda wangu wote kule ingawa ningeharibika"
# mpaka kufunguliwa kwangu kutakapokuja
Kitenzi jina "kufunguliwa" chaweza kuelezwa na kitenzi "kufungua." "hadi hapo nitakapofunguliwa" au mpaka pale wewe utakaponiachilia"