sw_tn/job/13/20.md

16 lines
399 B
Markdown

# Habari za Jumla:
Ayubu anaendelea kuzungumza kwa Mungu.
# kutoka katika uso wako.
"Uso" unawakilisha mtu. "kutoka kwako wewe"
# Ondoa kutoka kwangu mkono wako unaotesa,
Kuondoa mkono unaotesa ni tashbiha inayomaanisha kuacha kufanya vitu hivyo. "acha kunitesa mimi"
# usiache utisho wako unifanye mimi kuogopa.
Tungo "utisho wako" inamaanisha kile kinachosababisha watu kumwogopa Mungu"