# Habari za Jumla: Ayubu anaendelea kuzungumza kwa Mungu. # kutoka katika uso wako. "Uso" unawakilisha mtu. "kutoka kwako wewe" # Ondoa kutoka kwangu mkono wako unaotesa, Kuondoa mkono unaotesa ni tashbiha inayomaanisha kuacha kufanya vitu hivyo. "acha kunitesa mimi" # usiache utisho wako unifanye mimi kuogopa. Tungo "utisho wako" inamaanisha kile kinachosababisha watu kumwogopa Mungu"