forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
952 B
Markdown
32 lines
952 B
Markdown
# Habari za Jumla:
|
|
|
|
Ayubu anaendelea kuzungumza na Mungu
|
|
|
|
# Tazama sasa
|
|
|
|
Huu ni msisitizo wa kile kinachofuata." Sikiliza sasa" au "tafadhali, kipekee, sikiliza."
|
|
|
|
# Nimeuweka utetezi wangu katika mpangilio,
|
|
|
|
Ameupangilia utetezi wake ni kuamua kile ambacho angesema kujitetea yeye mwenyewe. " Mimi nimefikiria jinsi nitakavyojitetea mwenyewe" au "Mimi nimeamua jinsi nitakavyojieleza mimi mwenyewe"
|
|
|
|
# Ni nani anayeweza kushindana na mimi katika mahakama?
|
|
|
|
Ayubu anatumia swali hili kueleza imani yake kwamba kwa kuwa yeye yuko sahihi, hakuna awaye yote angeshindana na yeye. "Mimi siamini kuwa mtu yeyote atahojiana na mimi katika mahakama."
|
|
|
|
# Ikiwa mlikuja kufanya hivyo,
|
|
|
|
"kama mlikuja kushindana dhidi yangu mimi"
|
|
|
|
# ikiwa ninyi
|
|
|
|
"Ninyi" hapa ina maanisha Mungu mwenyewe.
|
|
|
|
# kama mimi nilithibitishwa kukosea,
|
|
|
|
"Kama niniyi mngethibitisha mimi kuwa nimekosea"
|
|
|
|
# kuyatoa maisha yangu.
|
|
|
|
"Kuyatoa maisha ya mtu ni tashbiha inayomaanisha kufa"
|