forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
656 B
Markdown
16 lines
656 B
Markdown
# Ni myama yupi miongoni mwa hawa asiyefahamu kuwa mkono wa Yahwe umetenda haya
|
|
|
|
Swali hili linasisitiza mantiki ya kwamba wayama wote wanatambua kuwa Yahwe amefanya haya. Ina maanisha , "Kila mnyama anafahamu....haya."
|
|
|
|
# mkono wa Yahwe umetenda haya?
|
|
|
|
Mkono wa Yahwe unawakilisha nguvu zake. "Yahwe ametenda haya kwa nguvu zake"
|
|
|
|
# Katika mkono wake mna uzima...na pumzi ya wanadamu wote.
|
|
|
|
Mkono wa Yahwe unawakilisha udhibiti wake au nguvu. Vitu kuwa katika mikono yake inawakilisha uweza wake kuvidhibiti. "ambaye anadhibiti uhai wa kila kiumbe hai na ataoa uhai kwa kila mwanadamu"
|
|
|
|
# pumzi ya wanadamu
|
|
|
|
"Pumzi" inawakilisha uzima au uwezo wa kuishi
|