sw_tn/job/11/18.md

16 lines
550 B
Markdown

# Ungekuwa salama...utachukua pumziko lako katika usalama.
Sofari anarudia wazo lilelile kwa msisitizo na anaelezea uwezekano.
# utachukua pumziko lako katika usalama
"Chukua pumziko lako" ni nahau kwa "pumziko" maneno" katika pumziko" yanaweza kuelezwa pamoja na neno" salama" ungepumzika salama"
# Pia ungelala chini katika pumziko,
Sofari anarudia wazo lilelile kwa msisitizo na anaelezea uwezekano.
# ungelala chini katika pumziko
jina dhahania "pumziko" kinaweza kuelezwa pamoja na kitenzi "pumzika" "wewe ungelala chini na kupumzika"