# Ungekuwa salama...utachukua pumziko lako katika usalama. Sofari anarudia wazo lilelile kwa msisitizo na anaelezea uwezekano. # utachukua pumziko lako katika usalama "Chukua pumziko lako" ni nahau kwa "pumziko" maneno" katika pumziko" yanaweza kuelezwa pamoja na neno" salama" ungepumzika salama" # Pia ungelala chini katika pumziko, Sofari anarudia wazo lilelile kwa msisitizo na anaelezea uwezekano. # ungelala chini katika pumziko jina dhahania "pumziko" kinaweza kuelezwa pamoja na kitenzi "pumzika" "wewe ungelala chini na kupumzika"