forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
1020 B
Markdown
28 lines
1020 B
Markdown
# Habari za Jumla:
|
|
|
|
Katika mistari hii, Ayubu anatumia lugha ya ushairi kuelezea namna Mungu alivyo muumba yeye katika tumbo la uzazi.
|
|
|
|
# Je wewe hukunimimina kama maziwa na kunigandisha mfano wa jibini?
|
|
|
|
Hili ni swali ambalo linatarajia jibu halisi. "Wewe ulinimimina kama maziwa na kunigandisha kama jibini." au "Wewe umenitengeneza mimi katika tumbo la uzazi kama maziwa yamiminavyo na kuwa jibini."
|
|
|
|
# Wewe
|
|
|
|
Hapa "wewe" linahusiana na Mungu.
|
|
|
|
# mimi
|
|
|
|
Hapa "mimi" linahusiana na Ayubu.
|
|
|
|
# Umenivika ngozi na nyama
|
|
|
|
Mungu kuweka ngozi na nyama juu ya mwili wa Ayubu inaongelewa kana kwamba Mungu alimvisha nguo yeye. "Wewe umeweka ngozi na nyama juu ya mwili wangu"
|
|
|
|
# niunganisha pamoja
|
|
|
|
"umenifuma." Mungu anaunganisha mwili wa Ayubu katika tumbo la uzazi inaongelewa kana kwamba Mungu alikuwa anafuma au anashona kipande cha nguo."niunganishe"
|
|
|
|
# misuri
|
|
|
|
"mikano." Hizi ni sehemu za mwili ambazo huunganisha misuli na mifupa au sehemu zingine za mwili na ziko kama kwamba ni ngumu, utepe mweupu au kamba nyembamba.
|