sw_tn/job/09/07.md

28 lines
784 B
Markdown

# ambaye huzihifadhi nyota
"ambaye huzuia nyota zisionekane"
# ambaye peke yake ni mwenye kupanua mbingu
Mungu anaongelewa kama aliyeumba mbingu bila msaada wowote, kana kwamba mbingu ilikuwa mfumo kwamba yeye aliueneza.
# kuyatuliza mawimbi ya bahari
Mungu anazungumziwa kama mtuliza bahari kana kwamba kwa miguu yake. "hukanyaga miguu yake juu ya mawimbi ya bahari" au " hutuliza mawimbi ya bahari"
# Dubu, Orioni, kilima
Haya yanahusu kundi la nyota, ambalo ni kundi la nyota ambalo huonekana kama zimetengeza umbo fulani angani.
# Orioni
ni maarufu kwa uwindaji katika elimu ya visasili ya kigiriki
# Kilima
nyota nyingi zenye kung'aa ambazo huonekana kama zipo karibu karibu angani.
# kundinyota
kundi la nyota ambalo huonekana kama limetengeneza umbo fulani angani