# ambaye huzihifadhi nyota "ambaye huzuia nyota zisionekane" # ambaye peke yake ni mwenye kupanua mbingu Mungu anaongelewa kama aliyeumba mbingu bila msaada wowote, kana kwamba mbingu ilikuwa mfumo kwamba yeye aliueneza. # kuyatuliza mawimbi ya bahari Mungu anazungumziwa kama mtuliza bahari kana kwamba kwa miguu yake. "hukanyaga miguu yake juu ya mawimbi ya bahari" au " hutuliza mawimbi ya bahari" # Dubu, Orioni, kilima Haya yanahusu kundi la nyota, ambalo ni kundi la nyota ambalo huonekana kama zimetengeza umbo fulani angani. # Orioni ni maarufu kwa uwindaji katika elimu ya visasili ya kigiriki # Kilima nyota nyingi zenye kung'aa ambazo huonekana kama zipo karibu karibu angani. # kundinyota kundi la nyota ambalo huonekana kama limetengeneza umbo fulani angani