forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
634 B
Markdown
12 lines
634 B
Markdown
# Je itachukuwa muda gani kabla hujaacha kuniangalia, wala kunisumbua muda wa kutosha kwaajili ya kumeza mate yangu?
|
|
|
|
Hapa Ayubu anawasilisha wazo moja akitumia maswali mawili ya kejeri kusisitiza matamanio yake kwamba Mungu angeliacha kumwangalia yeye. "Usinitazame! Niache peke yangu kiasi cha kumeza mate yangu mwenyewe!"
|
|
|
|
# Hata kama nimefanya dhambi, itakusaidia nini, wewe ulindaye wanadamu?
|
|
|
|
Ayubu analeta swali hili kumkaripia Mungu. "Hata kama nimefanya dhambi, kwamba haitakusaidia kitu wewe, ambaye uwalinda watu."
|
|
|
|
# Kwa nini umenifanya shabaha yako, ... kwako?
|
|
|
|
"Kwanini umenifanya mimi shabaha kwa ajili yako mwenyewe?"
|