sw_tn/job/07/16.md

28 lines
593 B
Markdown

# Habari unganishi:
Mwandishi anaendelea kutumia ulinganishaji katika mistari hii, kuwasilisha wazo moja akitumia taarifa mbili tofauti kusisitiza matokeo ya mateso ya Ayubu juu ya hisia zake kuwa mwenye thamani.
# Ninayachukia kabisa maisha yangu
"Mimi naya-dharau maisha yangu"
# siku zote kuwa hai
"kuishi milele"
# siku zangu hazifai
"siku zangu hazina maana" au "siku zangu hazina thamani"
# hata ukatia bidii kwake
"kwamba wewe utamwangalia yeye"
# utaweka akili yako kwake
"kwamba wewe utayaelekeza bidii zako kwake"
# na kumwangalia
"kwamba wewe utamwangalia vizuri yeye"