# Habari unganishi: Mwandishi anaendelea kutumia ulinganishaji katika mistari hii, kuwasilisha wazo moja akitumia taarifa mbili tofauti kusisitiza matokeo ya mateso ya Ayubu juu ya hisia zake kuwa mwenye thamani. # Ninayachukia kabisa maisha yangu "Mimi naya-dharau maisha yangu" # siku zote kuwa hai "kuishi milele" # siku zangu hazifai "siku zangu hazina maana" au "siku zangu hazina thamani" # hata ukatia bidii kwake "kwamba wewe utamwangalia yeye" # utaweka akili yako kwake "kwamba wewe utayaelekeza bidii zako kwake" # na kumwangalia "kwamba wewe utamwangalia vizuri yeye"