sw_tn/job/07/13.md

20 lines
675 B
Markdown

# Habari za Jumla:
Mwandishi anaendelea kutumia ulinganishaji katika mistari miwili ya kwanza, kuwasilisha wazo moja akitumia taarifa mbili tofauti kuelezea maumivu makali sana ya Ayubu.
# kitanda changu kitanifariji, na malazi yangu yatatuliza manung'uniko yangu
Hapa "kitanda" na "malazi" ni mifano wa "kulala." Kwa kulala chini, Ayubu alitarajia faraja. Mfano pia una sifa za kibinadamu; wana uwezo wa kumriwadha na kumfariji mtu.
# wewe unanitisha mimi
"wewe" inamaanisha Mungu ambaye Ayubu anamlalamikia.
# kunyonga
kuua mtu kwa kumkaba koo lake na kuzuia asipumue.
# hii mifupa yangu
Hapa Ayubu anatumia neno "mifupa" kumaanisha mwili wake. "Huu mwili wangu"