forked from WA-Catalog/sw_tn
36 lines
1.0 KiB
Markdown
36 lines
1.0 KiB
Markdown
# Misafara ambayo husafiri kwa njia hiyo hugeuka kwaajili ya maji
|
|
|
|
Ayubu anaendelea na maelezo yake kuhusu rafiki zake kuwa si wa kutegemewa kama mito ambayo hukauka. "Njia ya wasafiri hubadili njia kwa ajili ya kutafuta maji"
|
|
|
|
# Misafara
|
|
|
|
Kifungu hiki kinaweza pia kutafsiriwa kama "njia za misafara" au "njia za wasafiri" au "wasafiri."
|
|
|
|
# huzurura jangwani na kisha huangamia
|
|
|
|
"hawakwenda popote na kisha hufariki"
|
|
|
|
# Tema
|
|
|
|
Hili ni jina la mahali. Watu wa mahali pale walitumia misafara kufanya biashara ya vitu na watu kutoka nchi zingine.
|
|
|
|
# wakati majeshi ya Sheba huitarajia
|
|
|
|
"wakati wasafiri kutoka Sheba waliwatumainia"
|
|
|
|
# Sheba
|
|
|
|
Hili ni jina la mahali. Watu wa mahala pale walitumia misafara kufanya biashara ya vitu na watu kutoka nchi zingine.
|
|
|
|
# waliwatarajia
|
|
|
|
"walitumaini kwaajili yao" au " waliweka matumaini yao kwao
|
|
|
|
# Wamevunjika moyo kwa sababu walitumaini kupata maji
|
|
|
|
"Walichanganyikiwa kwasababu waliamini kwamba wangeweza kupata maji"
|
|
|
|
# lakini walidanganywa
|
|
|
|
"lakini walipoteza matumaini" au "lakini hawakuridhika"
|