forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
992 B
Markdown
32 lines
992 B
Markdown
# Kwa mtu ambaye yu karibu kuzirai, inapasa uaminifu uonyeshwe na rafiki zake
|
|
|
|
"Rafiki anatakiwa kuwa na huruma kwa mtu ambaye anajihisi kukata tamaa"
|
|
|
|
# hata kwake yeye aachaye kumcha Mwenyezi
|
|
|
|
"hata kama ataacha kumweshimu Mwenyezi Mungu" Maana za kufaa ni 1) mtu hana hofu ya Mungu au 2) rafiki zake hawamwogopi Mungu.
|
|
|
|
# Lakini ndugu zangu wamekuwa waaminifu kwangu kama mkondo wa maji jangwani
|
|
|
|
Ayubu anawaelezea rafiki zake kuwa wamekuwa kama "bondejangwa" ambalo hupitiwa na mto katikati yake ambao unaweza kukauka ghafra na si wa kutumainika.
|
|
|
|
# mfano wa mifereji ya maji ipitayo mpaka pasipo kitu
|
|
|
|
"mfano wa mito ya maji ambayo hukauka"
|
|
|
|
# ambayo imetiwa giza kwa sababu ya barafu juu yake
|
|
|
|
"ambayo ni giza kama barafu"
|
|
|
|
# na kwa sababu ya theluji ambayo hujificha yenyewe ndani yake
|
|
|
|
"na theluji hujificha ndani yake" au "barafu hupotea ndani yake"
|
|
|
|
# Wakati zikiyeyuka, hutoweka
|
|
|
|
"Wakati zikipata joto, hutoweka"
|
|
|
|
# kukiwa na joto, hutoweka mahali hapo.
|
|
|
|
"wakati wa joto, hukauka"
|