sw_tn/job/06/01.md

12 lines
482 B
Markdown

# laiti maumivu yangu makubwa yangepimwa; laiti misiba yangu yote mikubwa ingewekwa kwenye mizani!
Hapa mwandishi anatumia maelezo mawili tofauti kuwasilisha wazo moja, mzigo wa mateso ya Ayubu.
# kwenye mizani
"kwenye kipimo"
# Kwa kuwa sasa ungekuwa mzito kuliko mchanga wa baharini
Ayubu analinganisha mzigo wa mateso yake na uzito wa mchanga wenye majimaji; vyote vinaweza kumwangamiza mtu. "Mzingo wa maumivu yangu makubwa na taabu ni mazito kuliko mchanga wa ufukweni."