# laiti maumivu yangu makubwa yangepimwa; laiti misiba yangu yote mikubwa ingewekwa kwenye mizani! Hapa mwandishi anatumia maelezo mawili tofauti kuwasilisha wazo moja, mzigo wa mateso ya Ayubu. # kwenye mizani "kwenye kipimo" # Kwa kuwa sasa ungekuwa mzito kuliko mchanga wa baharini Ayubu analinganisha mzigo wa mateso yake na uzito wa mchanga wenye majimaji; vyote vinaweza kumwangamiza mtu. "Mzingo wa maumivu yangu makubwa na taabu ni mazito kuliko mchanga wa ufukweni."