sw_tn/job/05/04.md

28 lines
1.0 KiB
Markdown

# Habari za Jumla:
Mistari hii inaendeleza matumizi ya awali ya ulinganishaji, hapa inatilia mkazo katika njia tofauti wazo kwamba watoto wa watu wajinga hawapo salama.
# Watoto wake wako mbali na uzima
"yake" inahusiana na mtu mjinga au watu wajinga katika 5:1. "Watoto wao si salama milele"
# wameangamia
Hapa kuangamizwa ni mfano wa kuonewa, kutumiwa vibaya, katika mahakama. Wazo hili linaweza kuwekwa katika umbo hai. "mtu fulani amewaangamiza"
# lango la mji.
Lango la mji, linafanya kazi kama mahakama, ilikuwa sehemu ambayo ugomvi uliamuliwa na hukumu kutolewa.
# Hakuna yeyote atakaye waponya.
"Hakuna yeyote wakuwaokoa watoto wa watu wapuuzi kutoka kwenye dhiki zao"
# hata huyachukua katikati ya miiba
Inawezekana huu ni mfano wa kipande cha shamba ambapo mazao mabaya sana humea, kwasababu ya uwepo wa mimea yenye miba.
# Wenye kiu huzitaka sana mali zao
Hapa watu waroho wanaongelewa kana kwamba wanakiu, na utajiri wa mtu mpumbavu unazungumziwa kana kwamba ni kitu fulani ambacho wanaweza kunywa.