sw_tn/job/04/20.md

20 lines
705 B
Markdown

# Habari za Jumla:
Mistari hii inaendeleza matumizi ya awali ya ulinganishaji, hapa inasisitiza katika njia tofauti wazo kwamba watu hufa ghafla pasipo kupata hekima na wala usumbufu kutoka kwa wengine.
# Kati ya asubuhi na jioni wameangamizwa
Hii inamaanisha wazo la kitu fulani kinachotokea upesi.
# wameangamizwa
Hii pia inaweza kuwekwa katika umbo hai. "wamekufa"
# Je kamba za hema yao hazikung'olewa kati yao?
Hii inaweza kuwekwa katika umbo hai. "Si adui zao waliong'oa kamba za hema zao kutoka miongoni mwao?"
# kamba za hema yao
Hapa kamba za hema zinawakilisha hema. Wakati mwingine nyumba ya mtu na familia zinafananishwa kama hema yake, ambayo inaweza pia kuwakilisha mali zake zote.