forked from WA-Catalog/sw_tn
40 lines
1.6 KiB
Markdown
40 lines
1.6 KiB
Markdown
# ni nani aliyeangamia akiwa hana kosa?
|
|
|
|
Elifazi anatumia swali hili kumshawishi Ayubu kuchunguza dhambi katika maisha yake (na hukumu takatifu ya Mungu) kama kisababishi cha yeye kupotea. "Hapa mmoja aliyeangamizwa wakati hana kosa."
|
|
|
|
# ni lini watu wakamilifu walikatiliwa mbali
|
|
|
|
Swali hili pia linamaanisha kutengeneza maelezo, na yanaweza kuwekwa katika umbo la kufaa. "Hakuna hata mmoja aliyewahi kumkatilia mbali mtu mkamilifu."
|
|
|
|
# katiliwa mbali
|
|
|
|
Hapa kukatiliwa mbali inamaanisha kuangamizwa.
|
|
|
|
# walimao uovu ... kupanda taabu ... huvuna
|
|
|
|
Hapa matendo ya kulima na kupanda yanawakilisha kinacho sababisha taabu kwa watu wengine. Tendo la kuvuna ni mfano wa mateso ya taabu ambazo mtu huzisababisha mwenyewe.
|
|
|
|
# Kwa pumzi ya Mungu huangamia; kwa mlipuko wa hasira zake huteketea
|
|
|
|
Mwandishi anaeleza wazo moja akitumia taarifa mbili tofauti. Huu ni muundo wa ushairi wa kiebrania utumikao kwa kusisitiza, udhahiri, mafundisho, au yote matatu.
|
|
|
|
# pumzi ya Mungu
|
|
|
|
Hii inaweza kuwa mfano wa tendo la Mungu la kutoa amri.
|
|
|
|
# mlipuko wa hasira
|
|
|
|
Usemi huu unaashiria upumuaji mkubwa ambao mtu wakati fulani huufanya kupitia pua zake wakati akiwa na hasira.
|
|
|
|
# pumzi ... mlipuko
|
|
|
|
msemo wa pili umejengwa juu ya wa kwanza. Zinaunda wazo moja kwa kutumia maana ambazo zinaongeza matokeo. "Kwa mpumuo wa mdomo wa Mungu wanafariki; mwendo kasi wa upepo wa hasira zake huwateketeza wao."
|
|
|
|
# huangamia ... huteketea.
|
|
|
|
Fungu la pili limejengwa juu ya la pili. Yanaunda wazo moja. "Kwa mpumuo wa mdomo wa Mungu wanafariki; mwendo kasi wa upepo wa hasira zake huwateketeza wao."
|
|
|
|
# huteketea.
|
|
|
|
Hapa kuteketezwa au kuliwa ni mfano wa kuuliwa.
|