sw_tn/job/03/23.md

28 lines
1001 B
Markdown

# Kwanini kupewa mwanga mtu ambaye njia zake zimefichika, mtu ambaye Mungu amemzungushia uwa?
Ayubu anauliza hili swali ili kutengeneza habari. "Mungu hatoi uhai kwa mtu na kisha kuzichukua mbali siku zake za baadaye na kumwekea mpaka yeye."
# Kwanini kupewa mwanga mtu
Hapa mwanga unawakilisha uhai. "Je kwa nini Mungu humweka mtu hai"
# ambaye njia zake zimefichika
Hapa Ayubu anaongelea siku zake za baadaye, ambazo yeye hazijui mapema, kana kwamba Mungu alikuwa amezificha kutoka kwake.
# mtu ambaye Mungu amemzungushia uwa
Hapa kuwa katika matatizo na hatari yanasemwa kana kwamba walikuwa wamefungwa ndani ya mipaka finyu.
# kushusha kwangu pumzi kwatokea badala ya kula; kuugua kwangu kumemiminika kama maji
Ayubu anaelezea maumivu yake makubwa katika njia mbili.
# kushusha kwangu pumzi kwatokea badala ya kula
"Badala ya kula, mimi naomboleza"
# kuugua kwangu kumemiminika kama maji.
ubora wa maadili na hisia kama vile huzuni mara kwa mara huongelewa kana kwamba yalikuwa maji.