sw_tn/jhn/21/24.md

24 lines
598 B
Markdown

# Taarifa za jumla:
Huu ndio mwisho wa Injili ya Yohana. Hivyo mwandishi ambaye ni Yohona anatoa salamu za mwisho na kusema kidogo kuhusiana na yeye mwenyewe.
# mwanafunzi
mwanafunzi wa Yohana
# ambaye hushuhudia kuhusu mambo yaleyale
neno kushuhudia kama lilivyotumika hapa linamaanisha kuona kitu
# sisi tunajua
"sisi" hapa inamaanisha wale wanaomwamini Yesu
# kama kila kitu kingeandikwa
unaweza kutafsiri pia kwa kusema, "kama mtu angeandika kila kitu"
# hata dunia pia isingeweza kutosha vitabu vyote
Yesu alifanya miujiza mingi kuliko ambavyo watu wangeweza kuandika kwenye vitabu