sw_tn/jhn/21/15.md

16 lines
448 B
Markdown

# je, unanaipenda...wanipenda mimi
Hapa "upendo" linamanisha aina ya upendo unaotoka kwa Mungu, amabao unaangalia mema ya wengine, hata pale ambapo hakuna maslahi binafsi
# wewe wajua kuwa mimi na kupenda wewe
Petro anajibu, anatumia neno kwa "upendo" ambalo linonyesha upendo kwa ndugu au upendo wa urafiki au upendo wa kifamila.
# Lisha wanakondoo wangu
"Lisha watu wangu ninaowajali"
# Chunga kondoo wangu
"Wajali watu wangu ninaowajali"