sw_tn/jhn/20/21.md

20 lines
347 B
Markdown

# amani iwe nanyi
hii nisalamu ya kawaida
# Kama vile Baba alivyonituma mimi, vivyo hivyo nami nawatuma ninyi...akawaambia, Pokeeni Roho Mtakatifu"
Mungu Baba alimtuma Mungu Mwana anayewatuma waumini katika nguvu ya ya Mungu Roho.
# Baba
Hiki ni cheo muhimu cha Mungu
# watasamehewa
"Mungu atawasamehe"
# Watafungiwa
"Mungu hatawasamehe"