sw_tn/jhn/19/21.md

8 lines
237 B
Markdown

# Kisha wakuu wa makuhani wa Wayahudi wakamwambia Pilato
Wakuu wa makuhani walienda mpaka Ikulu kumshitaki Yesu juu ya maneno na miujiza yake.
# Niliyoyaandika nimeandika
Pilato anamaanisha kuwa hawezi kubadilisha maneno katika kibao