sw_tn/jhn/19/04.md

8 lines
193 B
Markdown

# Mimi sioni hatia yoyote ndani yake
Hii ni sawa na kusema kuwa sioni sababu ya kumwadhibu
# taji ya miiba...vazi la dhambarau
taji na vazi la dhambarau ni vitu vinavyovaliwa na wafalme tu.