sw_tn/jhn/16/32.md

20 lines
286 B
Markdown

# Sentensi unganishi:
Yesu anaendelea kuongea na wanafunzi wake
# nanyi mtatawanyika
"wengine watawatawanya"
# Baba yu pamoja nami
Hili jina la muhimu la Mungu
# ili kwama ndani yangu muwe na amani
amani ya ndani
# nimeushinda ulimwengu
nimezishinda taabu na mateso ya duniani