sw_tn/jhn/16/08.md

20 lines
566 B
Markdown

# Mfariji atauhukumu ulimwengu kutokana...haki...naenda kwa Baba
Yesu alipoondoka duniani na akarudi kwa Mungu Baba, kisha Mungu Roho akaanza kuwaonyesha watu wana dhambi na wanahitaji msamaha unaopatokana kwa Yesu pekee.
# Ulimwengu
Inamaanisha watu wanaoishi duniani
# kutokana na haki, kwa sababu naenda kwa Baba, na hamtaniona tena
"Atawaambia watu kwamba kwa sababu narudi kwa Baba, hamtaniona tena, mtajua kuwa ni mimi mwenye haki ya kweli"
# Baba
Hiki ni cheo cha muhimu cha Mungu.
# Mkuu wa ulimwengu
Angalia jinsi ulivyotafsiri kwenye Yohana 12:30