sw_tn/jhn/15/08.md

20 lines
375 B
Markdown

# Baba yangu anatukuzwa katika hili
Unaweza kutafasiri hii kama, "Inawafanya watu wamuheshimu Baba yangu"
# Baba yangu
Hiki ni cheo cha muhimu cha Mungu
# ya kwamba mzae matunda mengi
hapa matunda yametumika badala ya maisha yanayompendeza Mungu
# ni wanafunzi wangu
dhihirisheni ya kuwa mu wanafunzi wangu
# dumuni katika pendo langu
endeleeni kupokea upendo wangu