sw_tn/jhn/14/08.md

12 lines
371 B
Markdown

# Je! Sijakuwa pamoja nanyi kwa muda mrefu, na bado hunijui mimi, Philipo?
"Nimekuwa tayari pamoja nanyi wanafunzi kwa muda mrefu sana. Wewe, Philipo ungenijua mimi kwa wakati huu."
# Jinsi gani unasema, 'Tuonyeshe Baba?
"hivyo wewe, Philipo, hakika usingekuwa unasema, 'Tuonyeshe Baba."
# Bwana, tuonyeshe Baba...
Kumwona Mungu Mwana, Yesu, ni kumwona Mungu Baba.