sw_tn/jhn/11/27.md

12 lines
256 B
Markdown

# Ndiyo, Bwana, ninaamini kwamba wewe ni Kristo, Mwana wa Mungu, yeye... ajaye katika ulimwengu.
Martha aliamini kwamba Yesu ni Bwana, Kristo (Masihi), Mwana wa Mungu.
# Mwana wa Mungu
Hiki ni cheo maalumu cha Yesu.
# Mwalimu
Cheo hiki kinamhusu Yesu