# Ndiyo, Bwana, ninaamini kwamba wewe ni Kristo, Mwana wa Mungu, yeye... ajaye katika ulimwengu. Martha aliamini kwamba Yesu ni Bwana, Kristo (Masihi), Mwana wa Mungu. # Mwana wa Mungu Hiki ni cheo maalumu cha Yesu. # Mwalimu Cheo hiki kinamhusu Yesu