sw_tn/jhn/11/03.md

20 lines
402 B
Markdown

# aliomba Yesu aje
"alitaka Yesu aje kwake"
# upendo
Hapa "upendo" inamaanisha upendo wa ndugu, wa asili, upendo wa kibinadamu kati ya marafiki na ndugu.
# Kifo
Hii inamaanisa kifo cha kimwili
# badala yake kwa utukufu wa Mungu ili kwamba Mwana wa Mungu apate kutukuzwa katika hilo
Yesu kama Mwana wa Mungu, amepokea utukufu ule ule kama wa Mungu
# Mwana wa Mungu
Hili ni jina muhimu kwa Yesu