sw_tn/jhn/09/32.md

12 lines
424 B
Markdown

# Haijasikiwa kamwe kwamba mtu amefungua macho ya mtu aliyezaliwa kipofu
"Hakuna aliewahi kusikia mtu amefumbua macho"
# Ikia mtu huyu hakutoka kwa Mungu, asingefanya chochote
"Ikiwa mtu huyu hakutoka kwa Mungu, asingefanya chochote, lakini ameniponya, kwa hiyo yamkini ametoka kwa Mungu."
# ulizaliwa katika dhambi, na wewe sasa unataka kutufundisha sisi?
"Ulizaliwa kamili katika dhambi. Hauna sifa za kutufundisha.