# Sentensi unganishi:
Wayahudi wanaendelea kuongea na mtu aliyekuwa kipofu
# Kwa nini mnataka kusikia tena?
Kauli hii ipo katika mfumo wa swali kuelezea kushangazwa kwa yule mtu aliyeponywa awaelezee tena kuhusu kilichotokea.