# Sentensi unganishi: Wayahudi wanaendelea kuongea na mtu aliyekuwa kipofu # Kwa nini mnataka kusikia tena? Kauli hii ipo katika mfumo wa swali kuelezea kushangazwa kwa yule mtu aliyeponywa awaelezee tena kuhusu kilichotokea.