sw_tn/jhn/08/34.md

20 lines
403 B
Markdown

# Amini, amini
Tafsiri hii kama ilivyofanyika Yoh. 1:49
# Ni mtumwa wa dhambi
"Ni kama mtumwa wa dhambi." Hii inamaanisha kwamba dhambi ni kama bwana wa mwenye dhambi.
# Katika nyumba
Nyumbani mwa
# Ikiwa Mwana atawaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli
Kulingana na tamaduni zao, mwana mkubwa anaweza kumweka huru mtumwa katika nyumba yake.
# Mwana
Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu, Mwana wa Mungu.