# Amini, amini Tafsiri hii kama ilivyofanyika Yoh. 1:49 # Ni mtumwa wa dhambi "Ni kama mtumwa wa dhambi." Hii inamaanisha kwamba dhambi ni kama bwana wa mwenye dhambi. # Katika nyumba Nyumbani mwa # Ikiwa Mwana atawaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli Kulingana na tamaduni zao, mwana mkubwa anaweza kumweka huru mtumwa katika nyumba yake. # Mwana Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu, Mwana wa Mungu.