|
# Hamnijui mimi wala Baba yangu, kama mngelinijua mimi, mngelimjua na Baba yangu vile vile."
|
|
|
|
Yesu anaonyesha kwamba kumjua yeye ni kumjua Baba pia. Wote Baba na Mwana ni Mungu mmoja, kwa hiyo kumjua mmoja ni kuwajua wote.
|
|
|
|
# Baba yangu
|
|
|
|
Hiki nicheo muhimu kwa Mungu.
|