sw_tn/jhn/08/17.md

12 lines
245 B
Markdown

# Ndiyo, na katika sheria yenu
Neno "Ndiyo" inaonyesha kwamba Yesu anaongeza kile alichosema kabla.
# Imeandikwa
Musa aliandika
# Ushuhuda wa watu wawilini kweli
"Ikiwa watu wawili watasema jambo lile lile, ndipo watu watakapojua ni kweli"