forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
639 B
Markdown
24 lines
639 B
Markdown
# Mimi ni nuru ya ulimwengu
|
|
|
|
mimi ndiye nitoaye nuru kwa ulimwengu. Maana yake ni kwamba Yesu ameleta ujumbe wa kweli wa Mungu katika ulimwengu uwaokoao wanadamu kutoka giza la dhambi zao.
|
|
|
|
# Ulimwengu
|
|
|
|
"Watu wa Ulimwengu"
|
|
|
|
# Yeye anifuataye
|
|
|
|
"Kila mmoja anifuataye." Hii ni njia ya mafumbo isemayo "Kila mmoja atendaye yale ninayofundisha" au " kila mmoja anayenitii."
|
|
|
|
# Uzima
|
|
|
|
Hii inamaanisha uzima wa kiroho
|
|
|
|
# Unajishuhudia mwenyewe
|
|
|
|
"Unayasema mambo haya kwa ajili yako mwenyewe."
|
|
|
|
# Ushuhuda wako siyo kweli
|
|
|
|
"ushuhuda wako siyo kweli" huwezo kuwa shahidi wa kujishuhudia mwenyewe au kile unachokisema juu yako hakiwezi kuwa kweli.
|