forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
302 B
Markdown
8 lines
302 B
Markdown
# Mmoja baada ya mwingine
|
|
|
|
Mmoja baada ya mwingine
|
|
|
|
# Mwanamke, wako wapi washitaki wako?
|
|
|
|
Wakati Yesu alipomwita "mwanamke," hakumaanisaha kumdharau au kumfanya ajione mdogo. Ikiwa watu katika makundi yao ya lugha watafikiri kwamba alikuwa akifanya hivyo, hii itafsiriwe bila kutumia neno "mwanamke."
|