# Mmoja baada ya mwingine Mmoja baada ya mwingine # Mwanamke, wako wapi washitaki wako? Wakati Yesu alipomwita "mwanamke," hakumaanisaha kumdharau au kumfanya ajione mdogo. Ikiwa watu katika makundi yao ya lugha watafikiri kwamba alikuwa akifanya hivyo, hii itafsiriwe bila kutumia neno "mwanamke."