forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
568 B
Markdown
20 lines
568 B
Markdown
# Sasa katika sheria
|
|
|
|
"Sasa" ni utangulizi wa kilichotangulia kuwa Yesu na Wayahudi wenye mamlaka walielewa
|
|
|
|
# Watu kama hao
|
|
|
|
"Watu kama hao" au "watu wafanyao hayo"
|
|
|
|
# Unasemaje kuhusu yeye?
|
|
|
|
Hii inaweza kutafsiriwa kama amri. "Kwa hiyo tuambie. Tufanyeje kuhusu yeye?"
|
|
|
|
# Kumtega
|
|
|
|
"Kumtega." Hii inamaanisha kutumia swali la mtego.
|
|
|
|
# Ili kwamba wapate jambo la kumshitaki kwalo
|
|
|
|
Nini watakachomshitaki nacho inaweza kufanywa wazi. "Ili kwamba wapate kumshitaki kwa kusema jambo baya" au ili kwamba wapate kumshitaki kwa kutoitii sheria ya Musa na sheria ya Warumi.
|