sw_tn/jhn/07/30.md

8 lines
233 B
Markdown

# Kristo atakapokuja, atafanya ishara zaidi ya hizi anazofanya mtu huyu?
"Kristo atakapokuja hataweza kufanya ishara zaidi ya hizi ambazo mtu huyu amefanya."
# Ishara
"Hii inamaanisha miujiza inayothibitisha kuwa yeye ni Kristo."