sw_tn/jhn/07/10.md

8 lines
235 B
Markdown

# Naye vile vile alienda
Yerusalemu ilikuwa upande wa juu kutoka pale walipokuwa
# Siyo kwa wazi bali kwa siri
Mafungu haya mawili yana maanisha jambo moja, iliyorudiwa kwa kuweka mkazo. Lugha zingine huweka mkazo kwa njia tofauti.