# Naye vile vile alienda Yerusalemu ilikuwa upande wa juu kutoka pale walipokuwa # Siyo kwa wazi bali kwa siri Mafungu haya mawili yana maanisha jambo moja, iliyorudiwa kwa kuweka mkazo. Lugha zingine huweka mkazo kwa njia tofauti.