sw_tn/jhn/06/22.md

12 lines
348 B
Markdown

# bahari
Bahari ya Galilaya
# (Ingawa, palikuwa... Bwana aliposhukuru)
tumia lugha yako kuonesha kuwa hii ni habari ya nyuma.
# mitumbwi iliyokuja kutoka Tiberia
siku iliyofuata baada ya Yesu kuwalisha watu, baadhi ya mitumbwi kutoka Tiberia ilikuja na watu ili wamwone Yesu.Ingawa, Yesu na wanafunzi wake walikuwa wametoka usiku mmoja kabla.